Habari za Punde

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Akutana na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Alipomtembelea Ofisini Kwake Jengo la Baraza Chukwani Zanzibar.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zuberi Ali Maulid akisalimiana na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al Najem alipowasili katika majengo la Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa mazungumzo.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akiwa na mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al Najem akimtembeza katika jengo hilo na kuangalia ukumbi wa mikutano ya baraza wakati wa ziara yake hiyo ya mazungumzo na Spika.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akiwa na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania akimtembeza katika ukumbi wa Mikutano wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al Najem akizungumza na mwenyeji wake Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid wakati akitembelea ukumbi wa mkutano wa Baraza Chukwani.alipofika kumtembelea na kuzungumza na Spika. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.