Habari za Punde

Mkutano wa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Wafanyika Zanzibar.

Afisa dhamana Idara ya Sheria Khamis Jafar Mfaume akijibu maswali mbalimbali yalioulizwa  katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguj
Mkuu wa Kitengo cha Elimu kwa walipa kodi Shaban Yahya Ramadhan akitolea ufafanuzi baadi ya maswala yalioulizwa  katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
Mkuu wa Kitengo cha mahusiano kwa Umma ZRB Bi Safia Is-haka akitoa hotuba ya ufunguzi katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
Mwandishi wa Habari wa Bomba Fm Radio Mwinyi Sadalla akiuliza maswali katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
Mwandishi wa Habari wa Habari Leo Khatib Suleiman akiuliza maswali katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.