Habari za Punde

Maonesho ya Vitabu Kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Kisiwani Pemba.Mwalimu Mkuu wa skuli ya Sekondari ya Tumbe wilaya ya Micheweni Pemba, Nassor Bakar Said, akifungua maonyesho ya vitabu, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, kwa ajili ya wanafunzi wa skuli hiyo, kuashajihishwa kusoma vitabu.
AFISA Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed, akizungumzia utaratibu wa kuazima vitabu kwa wanafunzi wa skuli ya sekondari ya Tumbe wilaya ya Micheweni, kwenye maonyesho maalumu ya vitabu, yalioandaliwa na ZLSC. 

 
 BAADHI ya vitabu na majarida ya Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, ambavyo yalipelekewa kwa wanafunzi wa skuli ys Sekondari ya Tumbe wilaya ya Micheweni, kwa ajili ya kuhamasishwa kusoma vitabu.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.