Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Afanya Ziara Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Ndg Omar Hassan King akitowa maelezo ya ramani ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa michezo wa Mao Tse Tung wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibu Unguja kukagua miradi ya Maendeleo ya Ujenzi wa viwanja hivyo,vinavyojengwa na Kampuni ya Kichina ya  ZHENGTAT GROUP  alipoanza ziara yake ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili  katika viwanja vya Mpira vya Mao Tse Tung kwa ajili ya ukaguzi wa maendeleo ya Ujenzi wa viwanja hivyo leo vinavyojengwa na Kampuni ya Kichina ya  ZHENGTAT GROUP  alipoanza ziara yake ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo anefanyia kazi Zanzibar  Mhe.Xie Xiuowu wakati Rais alipowasili  katika viwanja vya Mpira vya Mao Tse Tung kwa ajili ya ukaguzi wa maendeleo ya Ujenzi wa viwanja hivyo leo vinavyojengwa na Kampuni ya Kichina ya  ZHENGTAT GROUP  alipoanza ziara yake ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipofuatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar katika viwanja vya Mpira vya Mao Tse Tung kwa ajili ya ukaguzi wa maendeleo ya Ujenzi wa viwanja hivyo leo vinavyojengwa na Kampuni ya Kichina ya  ZHENGTAT GROUP  alipoanza ziara yake ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiagana na  Balozi Mdogo anefanyia kazi Zanzibar  Mhe.Xie Xiuowu baada ya kutembelea na kukagua viwanja vya Mpira vya Mao Tse Tung leo  vinavyojengwa na Kampuni ya Kichina ya  ZHENGTAT GROUP  alipoanza ziara yake ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kushoto) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud na Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohamed(kulia),[Picha na Ikulu.] 19/08/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.