Habari za Punde

Umeme wafika kisiwa cha Fundo, Pemba

 Mwananchi wa Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba, akielezea furaha yake kwa Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali  juu ya furaha yake  kwa kufika Umeme Kisiwani humo.
 Wafanyakazi wa Shirika la Umeme (ZECO) Pemba, wakiwa na baadhi ya Wananchi wa Kisiwa cha Fundo wakiwa na furaha ya kupokea Waya wa Umeme kwa ajili ya kusambazwa katika Kisiwa chao.


 Meli ya Mv Jitihada ikiwa na Waya wa Umeme unaotarajiwa kusambazwa katika Kisiwa cha Fundo  Wilaya ya Wete Pemba

 Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Pemba, wakiwa katika meli ya Jitihada ambamo umo Waya unaotarajiwa kusambazwa katika Kisiwa cha Fundo kwa njia ya maji.

 Waya wa Umeme  unaotarajiwa kusambazwa katika Kisiwa cha Fundo ,kupitia baharini ukiwa katika meli ya MV Jitihada.
 Tagi ya Shirika la Bandari Zanzibar, ambayo inaiongoza Meli ya MV Jitihada, ikiwa iko Bandari ya Fundo.


Sheha wa Shehia ya Fundo ,Khamis Abeid, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya furaha yake kwa kufika Umeme ndani ya Kisiwa hicho.

PICHA NA SAID ABRAHAMAN-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.