Wafanyakazi wa Idara ya Utunzaji wa Miundominu ya Barabara Unguja wakiifanyika ukarabati barabara ya Mwanakwerekwe eneo la bwawa lilioharibika kwa mvua za masika zilizopita zilizoifanya barabara hiyo kutopitika kwa kufurika kwa bwawa hilo hadi katika barabara hiyo na kufungwa kwa kipindi kirefu kutokana na kujaa kwa maji na kuleta madhara ya kuchumbika.
DC KASILDA AWAFUNDA WANAFUNZI WASHIRIKI WA UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA.
-
Na WILLIUM PAUL, SAME.
MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewasihi
wanafunzi 120 kutoka wilayani humo wanaoelekea kushiriki mashi...
1 hour ago
Tunashkuru kwa matengenezo, ila sisi wananchi tunaona hii ni kuondoa njiani tu, ufumbuzi hasa wa Eneo la Mwana kwerekwe ni kujengwa daraja kubwa hapo, ili kupisha maji mvua yatiririke Chini na magari na wananchi wapitie juu. Lkn kinachoendelea ni ondoa njiani, masika zijazo ngoma ipo vile vile, imekuwa ndo maisha ya kawaida sasa kwa wa Zanzibar ikifika masika Mwana kwerekwe hakupitiki adhaa kweli.
ReplyDelete