Wafanyakazi wa Idara ya Utunzaji wa Miundominu ya Barabara Unguja wakiifanyika ukarabati barabara ya Mwanakwerekwe eneo la bwawa lilioharibika kwa mvua za masika zilizopita zilizoifanya barabara hiyo kutopitika kwa kufurika kwa bwawa hilo hadi katika barabara hiyo na kufungwa kwa kipindi kirefu kutokana na kujaa kwa maji na kuleta madhara ya kuchumbika.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa
Jakaya Kikw...
18 minutes ago
Tunashkuru kwa matengenezo, ila sisi wananchi tunaona hii ni kuondoa njiani tu, ufumbuzi hasa wa Eneo la Mwana kwerekwe ni kujengwa daraja kubwa hapo, ili kupisha maji mvua yatiririke Chini na magari na wananchi wapitie juu. Lkn kinachoendelea ni ondoa njiani, masika zijazo ngoma ipo vile vile, imekuwa ndo maisha ya kawaida sasa kwa wa Zanzibar ikifika masika Mwana kwerekwe hakupitiki adhaa kweli.
ReplyDelete