WAZIRI wa
Afya Zanzibar Mhe: Mahamoud Thabiti Kombo, akiwa na kiongozi mkuu wa madaktari
kutoka China, walipo Hospitali ya Abdulla Mzee Mkoani dk Chen Er Dong, wakati
waziri huyo, alipotembelea hospitali hiyo, hivi karibuni
KIONGOZI
mkuu wa madaktari kutoka nchini China, anaofanyakazi zao hospitali ya Mkoa wa
Abdulla Mzee Mkoani Pemba, dk Chen Er Dong, akimuonyesha jambo waziri wa Afya
Zanzibar Mhe: Mahamaoud Thabiti, wakati waziri huyo, alipotembelea hospitali
hiyo, hivi karibuni
WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe: Mahamoud
Thabiti Kombo, akiagana na Kiongozi Mkuu wa Madaktari kutoka nchini China,
waliopo hospitali ya Mkoa ya Abdulla Mzee Mkoani Pemba, Dr..Chen Er Dong, wakati
waziri huyo, alipofika hospitali hapo, kuangalia uwezekano wa kupata vyumba kwa
ajili ya kuanzishwa Kituo cha Mkono kwa mkono cha Wilaya ya Mkoani.
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment