Afisa Mdhamini Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Pemba Sihaba
Haji Vuai, akitoa taarifa ya mwenendo wa ulipaji wa fedha, kwa wananchi
waliokodishwa mashamba ya mikarafuu ya serikali, mbele ya waandishi wa habari,
mkutano uliofanyika ofisini kwake, mjini Wete
Afisa Mdhamini Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kisiwani Pemba Sihaba
Haji Vuai, akitoa taarifa ya mwenendo wa ulipaji wa fedha, kwa wananchi
waliokodishwa mashamba ya mikarafuu ya serikali, mbele ya waandishi wa habari,
mkutano uliofanyika ofisini kwake, mjini Wete
Afisa Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Pemba,
Asha Salum Abdulla, akiwakaribisha waandishi wa habari mbali mbali kisiwani katika mkutano na Afisa Mdhamini wa wizara hiyo, kuanza kutoa taarifa rasmi kwa
waandishi hao, juu ya kuwataka waliokodi mshamba ya mikarafuu ya serikali
kufanya malipo hima, kabla ya kukabidhiwa kwa ZAECA
Mwakilishi wa ITV/Redio one kisiwani Pemba, Suleiman
Rashid Omar, akiomba ufafanuzi juu suala la ukodishaji wa mashamba ya mikarafuu
ya serikali, kwenye mkutano ulioandaliwa na Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo
na Uvuvi kisiwani Pemba, kuhusu ulipaji wa madeni kwa wadaiwa wasugu, mkutano
uliofanyika mjini Wete, (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment