Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Mzunguko wa nne wa ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja utaanza Ijumaa Oktoba 27 katika uwanja wa Amaan saa 10:00 za jioni Miembeni City dhidi ya Chuoni .
Mpaka sasa jumla ya mabao 41 yamefungwa katika
ligi hiyo huku washambuliaji Salum Songoro wa KVZ
na Nassor Ali wa Kipanga ndio wanaongoza katika
safu ya ufungaji ambapo wameshafunga jumla ya
mabao 4 kila mmoja.
MABAO 4
Salum Songoro (KVZ) mabao 4
Nassor Ali (Kipanga) mabao 4
MABAO 3
Mudrik Muhibu (KMKM) mabao 3
Salum Akida (KMKM) mabao 3
MABAO 2
Ali Haji Said “Zege” (JKU) mabao 2
No comments:
Post a Comment