Habari za Punde

Kikao cha Ulinzi na Usalama Maandalizi ya Mapokezi ya Mwenge Kisiwani Pemba.


Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akiwa katika Kikao cha Pamoja na Kamati ya ulinzi na Usalama ya Wilaya  hiyo , wakijadili namna ya kukabiliana na sherehe za mwenge wa uhuru unaotarajiwa kuwasili Wilayani humo mapema wiki hii .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.