Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Afunga Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Katika Viwanja Vya Kizimbani Zanzibar.


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipata maelezo kutoka kwa bwana shamba matumizi ya treka wakati wa hafla ya kufunga maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya kizimbani Zanzibar.


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipata maelezo ya ufugaji bora wa mbuzi wa maziwa wakati wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya kizimbani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.