Habari za Punde

Mamia Wajitokeza Kumuaga Mama Happyfania Komba Kijichi Jijini Dar es Salaam leo.


Marehemu Happyfania Komba enzi za uhai wake. Happyfania Komba alifariki dunia usiku wa kuamkia jana akiwa usingizini na mazishi yake yatafanyika kesho Tunduru mkoani Ruvuma.
Waombolezaji wakiaga mwili wa Happyfania Komba.


 Mwili wa marehemu ukiagwa.
 Mtoto wa marehemu, Exavery Komba akisaidiwa na wenzake wakati akitoa heshima za mwisho kwa mama yake.
 Shangazi yake marehemu Winfrida Komba akilia kwa uchungu wakati wa kumuaga mpendwa wake.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com simu namba 0712727062)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.