Habari za Punde

Manaibu Waziri wa T/ Bara na Zanzibar wazungumza na wanahabari kuhusiana na mwenge wa Uhuru

 Mwandishi wa Habari wa Habari maelezo Takdiri Ali akiuliza maswali katika mkutano na Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Shadia Mohammed Suleiman akiwa pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi,Vijana na Wenye Ulemavu wa Tanzania Anthony Mavunde katika ukumbi wa Ofisi ya Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mwanakwerekwe Zanzibar.
 Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Shadia Mohammed Suleiman akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mwenge wa Uhuru unaoendelea kukimbizwa katika Mikoa na Wilaya za Zanzibar katika ukumbi wa Wizara hio Mwanakwerekwe Zanzibar.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi,Vijana na Wenye Ulemavu wa Tanzania, Anthony Mavunde kushoto akitolea ufafanuzi maswala mbalimbali yalioulizwa na waandishi katika mkutano  kuhusiana na Mwenge wa Uhuru unaoendelea kukimbizwa katika Mikoa na Wilaya za Zanzibar katika ukumbi wa Wizara hio Mwanakwerekwe Zanzibar.

Picha na Abdalla Omar, Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.