Habari za Punde

Mbio za Kimataifa za KMKM 10 KM Marathon Zavutia Wengi Kisiwani Zanzibar Zilizoandaliwa na Kikosi cha Kuzuia Magendo KMKM Zanzibar. na Kushirikisha Wakimbia Kutoka Kenya Tanzania Bara na Zanzibar Wenyeji.

Mbio za Kimataifa za KMKM 10KM Marathoni zikiaza kutimua vumbi katika viwanja vya Kibweni ikiwa na washiriki 120 walioaza mbia hizo na kumalizia katika viwanja vya maisara Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.