Mchezo wa kufuta kamba uliowashirikisha Wapiganaji wa Kikosi cha KMKM kwa upande wa Wanawake na Wanaume umekuwa kivutio katika viwanja vya maisara kunogesha mbio za Marathon KMKM 10 KM.
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR -UFUNGUZI WA KONGAMANO LA MKUPONGEZA
RAIS WA ZANZIBAR
-
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema katika
kipindi cha miaka mitano iliyopita, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
(WEMA)...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment