Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza
(wapili kulia) akiwasili katika Taasisi ya Sanaa na Utamduni Bagamoyo (TaSUBa)
kutembelea na kuona shughuli zinazofanywa na Taasisi hiyo leo katika wilaya ya
Bagamoyo. Wapili kushoto ni Kaimu Mtendaji Mkuu TaSUBa Bw. Gabriel Kiiza
Kaimu Mtendaji Mkuu TaSUBa Bw. Gabriel Kiiza (katikati) akimuelezea Naibu
Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia)
namna vifaa vya muziki vinavyotumika kufundishia wanafunzi wa muziki
alipotembela chumba cha kuhifadhi vifaa hivyo wakati wa ziara yake leo katika
Taasisi hiyo Wilayani Bagamoyo.
Naibu Waziri Wizara
ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akipiga kinanda wakati
wa ziara yake katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) leo katika
Wilaya ya Bagamoyo
Naibu Waziri Wizara
ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (watatu kushoto)
akikagua maeneo ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) alipofanya
ziara katika Taasisi hiyo leo katika Wilaya ya Bagamoyo. Wapili kushoto ni
Kaimu Mtendaji Mkuu TaSUBa Bw. Gabriel Kiiza
Naibu Waziri Wizara
ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (watatu kushoto)
akimsikiliza Kaimu Mtendaji Mkuu TaSUBa Bw. Gabriel Kiiza (watatu kulia) alipotembelea
ukumbi wa maonyesho wa TaSUBa wakati wa ziara yake katika Taasisi ya Sanaa na
Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) leo katika Wilaya ya Bagamoyo
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza
(kushoto) akimsikiliza mwalimu wa muziki (kulia) alipotembelea darasa la muziki
wakati wa ziara yake katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) leo katika Wilaya ya
Bagamoyo
Naibu Waziri Wizara
ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (waliokaa katikati)
katika picha ya pamoja na watumishi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
(TaSUBa) alipofanya ziara katika Taasisi hiyo leo katika Wilaya ya Bagamoyo
Picha
na:
Genofeva Matemu - WHUSM
No comments:
Post a Comment