Habari za Punde

Ujenzi wa Matuta Katika Ufukwe wa Pwani ya Kilimani Ukiendelea.

Wafanyakazi wa Kampuni ya DEZO inayojenga matuta katika ufukwe wa pwani ya kilimani wakiendelea na ujenzi huo kwa kukusanya mawe kupeleka sehemu husika kunusuru maji ya bahari kuvuka na kuingia katika eneo la makaazi na kuharibu mazingira ya eneo hilo ambalo tayari limeshaathirika na kufikiwa kwa maji ya bahari. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.