Habari za Punde

Hatimae Timu ya Taifa ya Jangombe Wakombozi wa Ngambu Waibuka na Ushindi wa Bao 1 - 0 Dhidi ya Timu ya KVZ

Kipa wa Timu ya KVZ  Bashri Muslim akiokoa moja ya hatari golini kwake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Taifa ya Jangombe imeshinda bao 1 -0.
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Jangombe kushoto Muharami Issa akimiliki mpira huku beki wa Timu ya KVZ Juma Abdallah akijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan. Timu ya Taifa ya Jangombe imeshinda bao 1 - 0.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.