Habari za Punde

Taasisi ya APHTA yatekeleza Vyema Mpango wa Kuzuia Magonjwa Yasiyoambukiza Mashuleni

Meneja Miradi kutoka taasisi ya Word Diabetes, Bent Lautrup-Nielsen (kushoto), akizungumza kwenye ziara ya kujionea utekelezaji wa mpango huo mkoani Shinyanga. Wanafunzi wa shule ya Msingi Town Mjini Shinyanga, wakiimba Ngonjela wakati wa ziara hiyo. Viongozi mbalimbali kwenye ziara hiyo. Wanafunzi wa shule ya Msingi Bugoyi B, Mjini Shinyanga wakiimba wakati wa ziara hiyo. Meneja Miradi kutoka taasisi ya Word Diabetes, Bent Lautrup-Nielsen, akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Bugoyi B, Mjini Shinyanga. Meneja Miradi kutoka taasisi ya Word Diabetes, Bent Lautrup-Nielsen (katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Bugoyi B Mratibu wa APHTA Kanda ya Ziwa, Dr.Joyce Mwihava akizungumza baada ya kuwasili shule ya msingi Isenga D, iliyopo Ilemela Jijini Mwanza, wakati wa ukaguzi wa mradi wa kuzuia magonjwa yasiyoambukiza mashuleni Meneja Miradi kutoka taasisi ya Word Diabetes, Bent Lautrup-Nielsen, akizungumza na wanafunzi wa shule ya Msingi Isenga D Jijini Mwanza BMG Habari, Pamoja Daima!

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.