Ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja itaendelea tena kesho kwa kupigwa michezo miwili katika uwanja wa Amaan.
Taifa ya Jang'ombe watakuwa na kazi pevu kucheza na Chuoni saa 8:00 za mchana na saa 10:00 za jioni Miembeni City watajaribu bahati yao kwa KVZ.
No comments:
Post a Comment