Habari za Punde

Zoezi la uhamasishaji wananchi upimaji wa afya zao lafanyika Micheweni

 AFISA upimaji wa afya na ushauri nasaha kutoka Tume ya Ukimwi Pemba, Mmanga Seif Massoud akimpima afya, mmoja ya wananchi wa Makangale Wilaya ya Micheweni, wakati wa zoezi la uhamasishaji wananchi kupima afya zao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib, akipima presha na Dr Salum Gudlucky wakatika wa zoezi la uhamasishaji wananchi upimaji wa afya zao, huko Makangale Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKUU wa Wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib, akipima afya yake katika zoezi la uhamasihaji wananchi upimaji wa afya zao, zoezi hilo lililofanyika makangale Wilaya ya Micheweni Mkao wa Kaskazini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.