Habari za Punde

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba akabidhi Ofisi kwa Mkuu Mpya wa Mkoa

 MAAFISA mbali mbali wa vikosi vya ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini makabidhiano ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa ofisi hiyo mjini chake chake.(PICHA NA HANIFA SALIM,PEMBA.)

 ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akimkabidhi ripoti ya utekelezaji wa Ofisi hiyo kwa mkuu mpya wa Mkoa huo, Hemed Suleiman Abdalla, hafla ya makabidhiano imehudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Serikali na Chama.(PICHA NA HANIFA SALIM,PEMBA.)
NAIBU katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wazee, Vijana Wanawake na Watoto Mwanajuma Majid Abdalla, akiwaaga watendaji mbali mbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba, baada ya kumkabidhi Mkuu mpya wa mkoa huo Hemed Suleiman Abdalla.(PICHA NA HANIFA SALIM,PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.