Habari za Punde

Samaki Aina ya Chewa Avuliwa Katika Bahari ya Zanzibar Akiwa na Uzito wa Kilo 150.

Wachukuza katika Marikiti Kuu ya Darajani wakiwa katika harakati za kumpima samaki aina ya chewa aliyevuliwa katika bahari ya Zanzibar na kufikisha katika soko la samaki kwa ajili ya kuuzwa akiwa na uzito wa kilo 150.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.