Habari za Punde

Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichoanza leo dhidi ya Rwanda

Na Abubakar Khatib Kisandu, Machakos Kenya.

Kocha wa Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman “Morocco” ametangaza kikosi chake kitakachocheza leo kwenye Mashindano ya  CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP dhidi ya Rwanda katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 8:00 za mchana.

1.  Mohd Abrahman (Wawesha)
2.  Ibrahim Mohd (Sangula)
3.  Haji Mwinyi Ngwali
4.  Abdulla Kheri (Sebo)
5.  Issa Haidar Dau (Mwalala)
6.  Abdul azizi Makame (Abui)
7.  Mohd Issa (Banka)
8.  Mudathir Yahya
9.  Ibrahim Hamad Hilika
10.                   Feisal Salum (Fei Toto)
11.                   Suleiman Kassim “Seleembe” (Captain)

SUB
1.  Ahmed Ali (Salula)
2.  Ibrahim Abdallah
3.  Adeyum Saleh
4.  Abdullah Haji (Ninja)
5.  Seif Rashid (Karihe)
6.  Kassim Suleiman
7.  Hamad Mshamata
8.  Khamis Mussa (Rais)
9.  Amour Suleiman (Pwina)
10.                   Abdul swamad Kassim (Hasgut)

Mlinzi Mohd Othman Mmanga amepata jeraha baada ya jana usiku kujikwaa chooni na kuumia  mguu na kulazimika kushonwa, nafasi yake ikalazimika kuchukuliwa na Ibrahim Mohd (Sangula).

1 comment:

  1. Hamko up to date bwana, watu washawatandika warwanda zamaani, wewe ndio unatuletea habari za kikosi KITAKACHOCHEZA, wewe vipi bwana

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.