Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Apokelewa Kwa Shangwe Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Unguja leo. na Kuzungumza na Wanachama wa CCM WA mIKOA YA uNGUJA.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Talib Ali Talib, wakati wa hafla ya mapokezi yake kwa Wananchama wa CCM wa Mikoa ya Unguja kumpongeza kwa kuchaguliwa kwa Kura nyingi katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM wiki iliopita Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungwa Skafu wa Vijana wa Chipukizi wa Mkoa wa Mjini wakati wa mapokezi yake yaliofanyika katika viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Unguja leo.24/12/2017, na kuzungumza na Wanachama wa CCM wa Mikoa ya Unguja.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.