Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt Magufuli aongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma. Wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman  Kinana pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiimba mara baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika ukumbi wa Chama cha Mapinduzi  (White House) mjini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim akiwaaga wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CC) mara baada ya kumaliza muda wake.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye amemaliza muda wake Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.