Habari za Punde

Hafla ya ugawaji wa Mirabaha kwa wabunifu na wasanii Zanzibar

 Msimamizi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Hakimiliki Zanzibar, Mtumwa Ameir Khatibu akitoa maelezo kuhusu hafla ya ugawaji wa Mirabaha kwa wabunifu na wasanii Zanzibar, sherehe hiyo ilifanyika kwenye ukumbi za zamani wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar jana.
 Msanii wa taarabu, Mohamed Iliyas akitoa burudani katika hafla hiyo jana usiku.

 Mgeni Rasmi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Zanzibar, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala bora, Haroun Ali Suleiman akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi zawadi kwa wahusika
Mwandishi wa vitabu Zanzibar, Ameir A.Mohamed akipokea zawadi kutoka kwa Mgeni Rasmi, Haroun Ali Suleiman (kulia)

Picha zote na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.