Habari za Punde

Kikosi cha Zanzibar Heroes kitakachoanza leo dhidi ya Harambee Stars

Na Abubakar Khatib Kisandu, Machakos Kenya.

Kocha wa Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman “Morocco” ametangaza kikosi chake kitakachocheza leo kwenye mchezo wa fainali Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kati ya Zanzibar dhidi ya wenyeji Kenya katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 09:00 za Alaasiri.

ZANZIBAR HEROES
1.  Mohammed Abrahman Mohd (Wawesha) 18
2.  Ibrahim Mohd Said (Sangula) 15
3.  Mwinyi Haji Ngwali 16
4.  Abdulla Salum Kheri (Sebo) 13
5.  Issa Haidar Dau (Mwalala) 8
6.  Abdul azizi Makame Hassan (Abui) 21
7.  Seif Abdallah Rashid (Karihe) 12
8.  Mudathir Yahya Abass 4
9.  Ibrahim Hamad Ahmada “Hilika” 17
10.                   Mohd Issa Juma (Banka) 10
11.                   Suleiman Kassim  Suleiman “Seleembe” 7 (Captain)

AKIBA
1.  Ahmed Ali Suleiman (Salula) 1
2.  Nassor Mrisho Salim 30
3.  Mohd Othman Mmanga 6
4.  Adeyum Ahmed Seif 20
5.  Ibrahim Abdallah Hamad 2
6.  Abdullah Haji Shaibu (Ninja) 5
7.  Hamad Mshamata Makame 9
8.  Khamis Mussa Makame (Rais) 28
9.  Abdul swamad Kassim Ali (Hasgut) 22
10.                   Feisal Salum Abdallah (Fei Toto) 3


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.