Habari za Punde

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Apata Mapokezi Makubwa Mkoani Dodoma Katika Viwanja Vya CCM White House Dodoma Leo.

Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dodoma Neema Majule, kulia akimtambulisha Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Gaudencia Kabaka,baada ya kuwasili katika viwanja vya Makao Makuu CCM White House Dodoma wakati wa mapokezi yake yalioandaliwa ma UWT Mkoa wa Dodoma na kutambulishwa kwa Wanachama wa Jumuiya hiyo baada ya kuchaguliwa katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa UWT uliofanyika Mkoani huo wiki hii.   
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.