Katibu
wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli aliyoitoa hapo jana mara baada ya kuendesha harambee ya papo kwa papo
ambapo kiasi hicho cha fedha kilipatikana.

No comments:
Post a Comment