Habari za Punde

Ufunguzi wa Kongamano la kitaifa la Utawala bora kisiwani Pemba

 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Katiba , Sheria , Utumishi wa Umma na utawala bora wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Haroun Ali Suleiman, akifunguwa Kongamano  la kitaifa  la Utawala bora kwa Watendaji mbalimbali wa Serikali huko katika ukumbi wa Baraza la Mji  Chake Chake Pemba.
Mkuu wa Wilaya ya Wete, Abeid Juma Ali, akielezea jambo katika Kongamano la kitaifa la utawala bora lillilofanyika katika ukumbi wa Baraza la Mji  Chake Chake Pemba.



Picha na MARYAM TALIB -WIZARA YA K/SHERIA -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.