Habari za Punde

Wafanyakazi wa Zantel wafanya usafi Hospitali kuu ya Mnazimmoja

 Wafanyakazi wa Zantel Zanzibar wakifanya usafi hospitali kuu ya Mnazimmoja
  Wafanyakazi wa Zantel Zanzibar wakifanya usafi hospitali kuu ya Mnazimmoja wakiendela kufyagia ili kuyaweka mazingira ya hospitali kuwa safi
 Wafanyakazi wa Zantel Zanzibar wakifanya usafi hospitali kuu ya Mnazimmoja ili kuyaweka mazingira safi katika shughuli ya kijamii leo 
Picha zote na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.