Habari za Punde

Kongamano la Uzinduzi wa Huduma za HIjja lililoandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking

 Katibu Mkuu wa Kamisheni ya wakfu na mali ya amana, Sheikh Abdullah Talib, akiwa pamoja na Mhadhiri wa SUZA, Dk Issa Ziddy pamoja na Mufti mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Kabi katika kongamano la  uzinduzi wa Hijja lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking 
 Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini michango iliyokuwa ikitolewa katika kongamano la  uzinduzi wa Hijja lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking 


 Sheikh Mohammed Suleiman ( Hibry) nae akichangia wakati wa kongamano la  uzinduzi wa Hijja  lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking 
 Sheikh Ahmed Hadar Jabir akichangia wakati wa kongamano la  uzinduzi wa Hijja  lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking 
 Sheikh Khalid Mohammed kutoka kamisheni ya wakfu na mali ya Amana akichangia akichangia wakati wa kongamano la  uzinduzi wa Hijja  lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking 

  Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini michango iliyokuwa ikitolewa katika kongamano la  uzinduzi wa Hijja lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking 
Sheikh  Ali Hemed Jabir (Aliyaaan) ane akichangia wakati wa kongamano la  uzinduzi wa Hijja  lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking 

Picha zote na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.