Habari za Punde

Madaktari wa ZOP Watowa Huduma ya Matibabu ya Macho Kisiwani Pemba.

Daktari wa Macho kutoka Kitengo cha ZOP Pemba, Abdalla Mbarouk,akimpima macho Mwananchi mmoja  katika Kisiwa cha Fundo , ili aweze kumpatia huduma inayostahiki wakati madaktari wa ZOP , walipoweka Kambi ya matibabu mbali mbali Kisiwani humo , kilichoko Mkoa wa Kaskazini Pemba.
 Baadhi ya Wananchi  wa Kisiwa cha Fundo , Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakisubiri kupatiwa huduma za matibabu mbali mbali ,zinazotolewa na Kitengo cha ZOP Pemba.
Madaktari wa kitengo cha ZOP Pemba ,wakiwa katika picha ya pamoja huko katika Kisiwa cha Fundo wakati walipokuwa katika Kambi ya matibabu ya siku moja.

1 comment:

  1. Very good job, Ombi moja tu, kabla ya kufanya au kutoa huduma kama hizi jaribuni sana kutoa taarifa hassa Vijijini kuna wengi wa nahitaji huduma hizi.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.