Habari za Punde

Mkesha wa Kuamkia Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi Upigaji wa Fashfashi Katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.

 Wananchi kutoka sehemu mbalimbali  wakijumuika pamoja katika kuangalia Urushwaji wa Fash Fash za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Usiku wa kuamkia siku ya kilele cha maadhimisho hayo Maisara Mjini Unguja.

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, wakifuatilia upigaji wa fashfashi uliofanyika katika viwanja vya mpira maisara ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.