Habari za Punde

New Star yaichapa Kizimbani 1-0 Ligi Kuu Zanzibar kanda ya Pemba

MLINDA mlango wa Timu ya New Star Jafar Said, akiruka juu kuokoa mpira katika eneo lake la hatari, wakati mchezo waligi kuu ya Zanzibar uliopigwa saa nane za mchana, matokeo ya mchezo huo ni New Star kushinda goli 1-0.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
 MCHEZAJI wa Timu ya Kizimbani Abdullnasir Ali akichuwana na mchezaji wa Timu ya New Star, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar, mchezo uliomalizika kwa New Star kushinda goli 1-
0.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MCHEZAJI wa Timu ya Kizimbani Ali Abrahman Shehe akielekea katika lango la Timu ya New Star ili kuisawazishia timu yake, wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliopigwa uwanja wa
gombani saa nane za mchana, matokeo New Star kushida goli 1- 0.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.