Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Amaliza Ziara yake ya Wiki Moja katika Nchi za UAE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kiongozi wa Juu katika Serikali ya Nchi za Umoja wa Nchi za Kiarabu UAE,Nasser Al Hamili alipowasili Uwanbja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai baada ya kumaliza ziara yake ya Wiki Moja Nchini humo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania katika Nchi za UAE, baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja nchini humo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mwenyeji wake Nasser Al Hamili, wakielekea katika chumba cha mapumziko cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai baada ya kumaliza ziara yake katika Nchi za Umija wa Nchi za Falme za Kiarabu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Kiongozi wa Serikali wa Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu wakiwa katika chumba cha VIP, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai akijiandaa kuondoa baada ya kumaliza ziara yake ya Kiserikali ya wiki moja. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.