Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za CCM.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dkt. Mndolwa Bernad Edmund alipowasili katika ukumbi wa mkutano kwa ajili ya kuzungumza na Rais na kujitambulisha baada ya kuchaguliwa kuchukua nafasi hiyo kwa kipindi cha Miaka Mitano.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dkt. Mndolwa Bernad Edmund alipofika kijitambulisha na Ikulu Zanzibar akiwa na Ujumbe wake.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dkt. Mndolwa Bernad Edmund baada mazungumzo yao. alipofika kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shei, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Umoja wa Wazazi Tanzania baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar wakati walipofika kujitambulisha.
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza wakati walipofika Ikulu Zanzibar kuzungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kujitambulisha na kumtambulisha Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Kheri James na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Tabia Maulid Mwita. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.