Habari za Punde

MKUU WA MKOA KASKAZINI PEMBA ATEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUEKEZWA NDANI YA MKOA WAKE

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Nd. Omar Khamis Othman, amsikiliza Afisa kutoka Mamlaka ya Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA) Zone ya Pemba Ali Shaban Suleiman akitowa maelezo ya eneo hilo la Uwekezaji la Kiyuni Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.