Habari za Punde

Watoto waliotoroka maskulini waonyesha nia ya kurudi maskuli Micheweni Pemba

 Kaimu Afisa Elimu akiongea na watoto walioacha skuli kwa sababu tofauti huko Micheweni na kuwaasa warudi maskuini kuendelea na masomo 

 Watoto waliotoroka maskuli wakinyoosha mikono wakitaka kurudi skuli baada ya kuzungumza na Ofisa wa Elimu huko Micheweni kisiwani Pemba

Picha na Ali Massoud Kombo, Micheweni , Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.