SHEHA wa Shehia ya Makoongwe Wilaya ya Mkoani,
Silima Haji Hassan, akitoa maelezo juu ya mashamba ya mpunga yanayoingia maji
chumvi, wakati viongozi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Pemba na Wizara ya
Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Pemba, wakiongozwa na Msaidizi wa Makamu wa
Pili Pemba, Amran Massoud Amran walipokagua maeneo hayo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MRATIB wa Tasaf Pemba Mussa Said akitoa mapendekezo
yake juu ya upandaji wa miti ya Mikoko na miti ya juu, katika moja ya mashamba
ya mpunga yanayoingia maji chumvi, huko katika kisiwa cha Makoongwe Wilaya ya
Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment