Mheshimiwa Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa kwenye mazungumzo na Bw.
Chang Yaong Hun, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Korea Kusini. Viongozi
hao wawili walikutana kwenye ofisi za Benki hiyo Jijini Seoul Korea Kusini
wakati wa ziara ya kikazi ya siku tatu ya Waziri Mahiga nchini
Mheshimiwa
Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki akiwa na ujumbe wake kwenye mazungumzo na Bw. Chang Yaong Hun,
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Korea Kusini. Viongozi hao wawili
walikutana kwenye ofisi za Benki hiyo Jijini Seoul Korea Kusini.
Mheshimiwa
Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki akiwa kwenye picha ya pamoja na Bw. Jundong Kim, Makamu Mwenyekiti wa
Korea Chamber of Commerce and Industries (KCCI). Mwingine pichani ni Balozi wa
Tanzania nchini Jamhuri ya Korea Mheshimiwa Matilda Masuka.
Mheshimiwa
Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki akiwa na ujumbe wake kwenye mazungumzo na Bw. Jundong Kim, Makamu
Mwenyekiti wa Korea Chamber of Commerce and Industries (KCCI).
Mheshimiwa
Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki akimkabidhi zawadi ya majani ya chain a kahawa za Tanzania Bw. Choi
Jong-won, Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Dong Myeong ya Korea Kusini.
No comments:
Post a Comment