Habari za Punde

Balozi Seif akutana na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC}

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC} Jaji Semistocles Kaijage Kushoto akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika Vuga na Timu yake kujitambulisha rasmi baada ya kupewa dhamana hiyo Mwaka  2016.
 Balozi Seif aliyekaa kiti cha kati akizungumza na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC} ikiongozwa na Mwenyeki wake Jaji Semistocles Kaijage aliyekaa mwanzo Kushoto.
Kushoto ya Balozi Seif ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Tanzania Jaji Mstaafu wa Zanzibar Mh. Hamid Mahmoud Hamid na Mkurugenzi wa Tume hiyo Nd. Kailima Ramadhan.
 Jaji Semistocles Kaijage Kushoto akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Vuga Mjini Zanzibar
Balozi Seif wa Pili kutoka Kulia akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Uongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC}ikiongozwa na Mwenyekiti wake Jaji Jaji Semistocles Kaijage wa kwanza kutoka Kulia.
Kulia ya Balozi Seif ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Tanzania Jaji Mstaafu wa Zanzibar Mh. Hamid Mahmoud Hamid na Mkurugenzi wa Tume hiyo Nd. Kailima Ramadhan.
Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.