Habari za Punde

Eneo la Benki ya PBZ Chake liangaliwe linaweza kusababisha ajali


IPO haja kwa taasisi husika zinazoshuhulika na masuala ya barabarani, kuweka alama za Punda milia katika eneo la Benki ya PBZ ya Chake Chake, ili kuweza kuwarahisishia wanafunzi kuvuka barabara kwa urahisi.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

1 comment:

  1. Sio Zebra tu ndugu yangu, Zebra Zanzibar haziheshimiwi hata kidogo, bora kuwekwa tuta hasa.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.