Huu ni Mdahalo wa Sehemu ya kwanza kati ya mbili zijazo, wa kugombania kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Urais kupitia Jumuiya ya Watanzania waishio DMV, ulioandaliwa na Tume ya Uchaguzi, Siku ya Jumamosi March 3, 2018 katika ukumbi wa Indiana Springs Terrance Local Park Sliver Spring Maryland Nchini Marekani.
REA Yagawa Majiko na Mitungi ya Gesi kwa Watumishi wa Magereza Kagera
Kuunga Mkono Matumizi ya Nishati Safi
-
Na Diana Byera, Bukoba
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamezindua zoezi la kugawa majiko na
mitungi ya gesi 486 kwa watumishi wote wa magereza nane za m...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment