Habari za Punde

PBZ Yakabidhi Seti ya Kompyuta na Mashine ya Foto Kopi kwa Skuli ya Sekondari ya Nungwi Zanzibar.

Meneja wa Masoko na Uhusiano wa Wateja PBZ, Mussa Mvita akimkabidhi Seti ya Komputa na Mashine ya Foto Kopi Mwalimu Mkuu Msaidizi  wa Skuli ya Sekondari ya Nungwin Makame Sheha Mgasho, hafla hiyo ya makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa PBZ darajani Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.