Habari za Punde

Semina ya kuwasilisha utafiti na mahitajio ya soko la ajira

 Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka  ya Mafunzo ya Amali  Bakari Ali Silima  akifungua Semina ya kuwasilisha utafiti na mahitajio ya soko la ajira kwa ajili ya kutayarisha mitaala ya kufundisha katika vyuo vya Amali Zanzibar huko katika Ukumbi wa Mamlaka ya Amali Kilimani Mjini Zanzibar.
 Muwezeshaji wa zoezi la mitaala, Rehema Binamuungu kutoka Tanzania Bara akiwasilisha mada ya Utafiti na mahitajio ya soko la Ajira kwa ajili ya kutayarisha mitaala ya kufundisha katika vyuo vya Amali Zanzibar huko katika Ukumbi wa Mamlaka ya Amali Kilimani Mjini Zanzibar.
 Mtafiti wa Soko la Ajira kutoka Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Tanzania Bara (VETA) Julius Paul Mjelwa akizungumza katika Semina ya kuwasilisha Utafiti na Mahitajio ya Soko la Ajira kwa ajili ya kutayarisha Mitaala ya Kufundisha katika vyuo vya Amali Zanzibar huko katika Ukumbi wa Mamlaka ya Amali Kilimani Mjini Zanzibar.
 Wakufunzi wakiwa katika  Semina ya  kuwasilisha utafiti  na mahitajio ya Soko la Ajira kwa ajili kutayarisha Mitaala ya kufundisha katika Vyuo vya Amali Zanzibar huko katika Ukumbi wa Mamlaka ya Amali Kilimani Mjini Zanzibar.

Wakufunzi wakiwa katika  Semina ya  kuwasilisha utafiti  na mahitajio ya Soko la Ajira kwa ajili kutayarisha Mitaala ya kufundisha katika Vyuo vya Amali Zanzibar huko katika Ukumbi wa Mamlaka ya Amali Kilimani Mjini Zanzibar.
                 Picha Na Miza Othman –Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.