Habari za Punde

Tuta la kuzuia maji chumvi, kisiwa cha Makoonge, Mkoani Pemba
SHEHA wa Shehia ya Kisiwa ya Makoongwe Wilaya ya Mkoani , Silima Hija Hassan, akiwaonesha waandishi wa habari wa shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibarleo Ofisi ya Pemba, Tuta la Mawe linalojengwa na Kaya masikini kwa lengo la kuzuwia kasi ya maji Chumvi kuingia katika mashamba yao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.