WAUMINI
wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi mbali mbali barani Africa, wakisali swala ya
Ijumaa kabla ya kufunguliwa kwa Ijitimai ya Kimataifa inayofanyika Ole Kiyanga
Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
USTADHI
Mohamed Salim akisoma Quran tukufu, kabla ya kufunguliwa kwa Ijitimai ya
Kimataifa, inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
USTADHI
Othman Maalim akiwa na Amiri wa Fisabili-llahi Markaz Ali Khamis Mwinyi,
wakisikiliza kwa makini Quran Tukufu iliyokuwa ikisomwa kabla ya ufunguzi wa
Ijitimai ya Kitaifa inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
Amiri
Kombo Hamada akitoa Tafsir ya Qur-an, kabla ya kufunguliwa kwa ijitimai ya
Kiataifa inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
KATIBU
Mkuu wa Fisabili-llah- Markaz Hafidh Jabu, akiwakaribisha wageni waalikwa
katika ijitimai ya Kitaifa iliyofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA).
AMIRI
wa Fisabili-llahi- Markaz Zanzibar, Ali Khamis Mwinyi, akitoa taarifa fupi ya
taasisi hiyo, wakati wa ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa inayofanyika Ole
Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAUMINI
wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi mbali mbali barani Africa, wakifuiatilia kwa
makini ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa, inayofanyika Ole Kianga Kisiwani
Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MUHADHIRI
wa dini ya Kiislamu Zanzibar Sheikh Othman Maalim, akizungumza na waumini wa
dini ya Kiislamu kutoka nchi mbali mbali barani Africa, wakati wa ufunguzi wa
ijitimai ya Kimataifa inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MUHADHIRI
wa dini ya Kiislamu Zanzibar Sheikh Othman Maalim, akizungumza na waumini wa
dini ya Kiislamu kutoka nchi mbali mbali barani Africa, wakati wa ufunguzi wa
ijitimai ya Kimataifa inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment